Jiunge nasi kwenye Blockchain Masterclass maalum utakaokupa uelewa wa msingi na wa vitendo kuhusu namna teknolojia ya blockchain inavyofungua fursa za kiuchumi kupitia digital assets. Mafunzo haya yataonyesha jinsi ya kutumia Inkryptus Wallet kusimamia na kukuza portfolio ya mali za kidigitali pamoja na kuelewa fursa mbalimbali ndani ya uchumi wa blockchain.
Kuelewa Namna ya Kuongeza Kipato Kupitia Asset za Kidigitali Zilizojengwa Kwenye Teknolojia ya Blockchain
Kusaidia washiriki kuelewa teknolojia ya blockchain, kujenga maarifa sahihi, na kuona njia mbalimbali za kuongeza kipato kupitia mfumo wa digital assets.
Usajili wako umekubaliwa. Tutakutumia maelezo zaidi hivi karibuni.
Tunakusubiri 28 Machi 2026 — New Safari Hotel, Arusha.